Gazeti la Bongo 5 limeingia mtaani baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu! Gazeti hilo litakuwa likichambua habari mbalimbali za starehe duniani hususan Tanzania. Bongo 5 itakuwa likitolewa kila baada ya wiki mbili, bei yake ni T Shs 1000! Kwa matangazo katika gazeti hilo wasiliana na 255 763 009 009. E-mail info@bongo5.com! 
Sunday, March 23, 2008
BONGO 5 MTAANI!
Posted by DARCITY at Sunday, March 23, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment