Welcome all!!! Karibuni wote mabibi na mabwana katika blog yetu hi mpya ya Dar City. Blog hii itakuwa inatuletea habari tofauti kutoka katika sehemu mbalimbali duniani. Dhumuni lingine kubwa la blog hii ni kuweza kubadilishana mawazo ya kimaendeleo kutoka kwa watu tofauti duniani aidha uwe mtanzania au mtu mwingine yeyote mwenye mapenzi na Tanzania au maisha kwa ujumla.
Lugha zitakazo tumika katika mtandao huu ni kiswahili na kiingereza, kila mtu ana uhuru wa kutumia lugha yeyote kati ya hizo ni chaguo lako. Its a FREE WORLD!!!!!
This is blog for all people I mean all people! Especially those who are going through life doing good things without being noticed!! You know who you are all the parents,mothers,fathers,uncles all the doctors,nurse,teachers etc and everybody who are doin goood things one way orthe other !! This is your time to shine!!! DarCity blogspot itakuwa inawaletea mambo yote mazuri yanayohusiana na maisha yetu duniani kwa ujumla.
The reason that you are reading this may be its because there are a lot of good things that you have achieved in life and went unnoticed!perhaps underappreciated!!!!!!!The wait is over!!!!May be you graduated,or you had a baby, you got married etc..
Nawakaribisheni sana kina kaka na kina dada, mabibi na mabwana!!!!
The motto of this blog is FAGILIANENI NDUGUZANGUNI!!!!!We only live once kuna watu wanaishi maisha yao yote hawajawahi kumsifia mtu mpaka abadili jina aitwe marehemu!!!!!DAAAAAAAAMN!!! XCUSE MA LINGO!!!!!
DarCity Blog tunaanzisha Utamaduni wa Kufagiliana regardless of what is going on in our life!! So Welcome aboard!!!!!!!
Wednesday, March 19, 2008
WELCOME!!!
We are going to bring you a lot info of what is going on in our life! good or bad its for the purpose of making our life better!!!! So welcome again.
My name is Richard Kasunga aka Rake Brown!!! I will be your host!!
Posted by DARCITY at Wednesday, March 19, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment