Wasanii Kci&Jojo waliwarusha wabongo katika ukumbi wa Moevenpick jijini Dar. Show hiyo ambayo ilidhaminiwa na kampuni ya TIGO ililifunguliwa na perfomance kutoka kwa K- Lynn na Nakaaya. Kwa mujibu wa mratibu wa show hiyo akiongea na Darcity alisema kuwa,onyesho hilo lilikuwa la mafanikio na aliongeza kuwa wanategemea kuleta wasanii wengine mashuhuri kutoka Marekani. Alipoulizwa kama anaweza kuwataja wanamuziki hao alitabasamu na kusema "lets expect big things"!
Wednesday, March 26, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment